Friday 4 November 2011

ZAMARADI MKETEMA APATA UJAZITO JE KWELI?

Mtangazaji wa kipindi cha mambo ya "FILAMU cha TAKE ONE" kinachorushwa na kituo cha clouds tv Zamaradi Mketema, hivi karibuni anatarajiwa kuitwa mama, baada ya kunasa ujauzito.
Chanzo cha kuaminika kiliiambia Sayari kuwa, kitumbo cha mrembo huyo tayari kimeshaanza kuonekana bila kificho, japo hakuweza kuweka wazi mhusika wa mzigo huo.

No comments:

Post a Comment