Wednesday, 1 February 2012
MISA YA SHUKRANI YA MAREHEMU MRS BENITHA LILIAN KALANJE.
MRS MARY MULAMULA KWA PAMOJA NA FAMILIA YA MAREHEMU MZEE PATRIC .S. KALANJE ,WANAPENDA KUWAKARIBISHA KWENYE MISA YA SHUKRANI YA MAREHEMU MAMA/BIBI YAO MPENDWA BENITHA LILIAN KALANJE.ITAKAYOFANYIKA SIKU YA JUMAPILI TAREHE 5/02 2012 SAA 8:00 MCHANA KATIKA KANISA LA ST ANNES LONDON.
ADRESS
ST ANNE &AGNES LUTHERAN CHURCH
GRESHAM STREET
EC2V 7BX
KARIBUNI SANA
BWANA ALITOA NA BWANA AMETWAA,JINA LAKE LIHIMIDIWE SANA. AMEN
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment