Friday, 18 May 2012

MWANAMZIKI MAARUFU DONNA SUMMER AAGA DUNIA!!




Mwanamziki maarufu Donna Summer  ameaga dunia akiwa na umri wa miaka 63 kutoka na kusumbuliwa na cancer,Donna sumer alizaliwa 31 december 1948 na amefariki 17 may 2012  nyumbani kwake key west,Frolida USA
Mwanaziki huyu alipata sana umaarufu  na kuvuma sana enzi za 1970 katika nyimbo zake za LOVE'S  UNKIND, LOVE TO LOVE YOU  BABY  NA  FREE LOVE
"BWANA AMETOA NA BWANA AMETWAA JINA LAKE LIHIMIDIWE"

No comments:

Post a Comment