Tuesday, 15 May 2012

USIPOMLILIA SAJUKI HUNA UTU!!


OOH SAJUKI! Siku mbili kabla ya kwenda katika Hospitali ya Apollo nchini India kwa matibabu, afya ya stadi wa filamu za Kibongo, Sadick Juma Kilowoko ‘Sajuki’ ni ya kusikitisha kupitiliza.
Kadiri siku zinavyosonga, hali ya Sajuki inazidi kuwatoa watu machozi baada ya kuzidiwa na kushindwa kunyanyuka kitandani. Laiti kama utamuona na ukashindwa kububujikwa na machozi basi utakuwa huna utu.
ENDELEA KUSOMA HAPA:http://www.globalpublishers.info/profiles/blogs/oh-sajuki-1

No comments:

Post a Comment