@ LE MUTUZ LIVE STRAIGHT TALK:- WABONGO BADO TUNA SAFARI NDEFU SANA KUENDELEA MBELE, BADO AKILI ZETU ZIMELALA USINGIZI INFACT INAHITAJI MOYO MGUMU SANA NA UVUMILIVU WA AJABU SANA KUWEZA KUFANYA KAZI YA BIASHARA AU YOYOTE ILE NA MBONGO HUKU BONGO, HAWAKO SERIUS WENGI WAO WANAPENDA KUPOKEA PESA TU, LAKINI SIO KUJITUMA AKIJUA UTAMPA PESA HAPO HAPO ATAKUJA NA KUJIFANYA YUPO SERIOUS ONDOKA TU KIDOGO AU MRUHUSU AKAFANYIE KAZI NYUMBANI BASI FORGET IT, MTU ANAJIITA BUSINESSMAN ANAKUPA NAMBA YA SIMU HALAFU HAPOKEI, UNAMTUMIA MESSAGE HAJIBU, JITU LINAAHIDI KUJA SAA MBILI LINAISHIA KUFIKA SAA SITA HALAFU LIKIFIKA HATA HALIJUI KUSEMA SORRY, WEWE UMESIKIA WAPI MJI MKUBWA KAMA DAR IKIFIKA SAA MBILI TU USIKU HAMNA MTU GIZA TUPU MIJI YOTE MIKUBWA DUNIANI SAA MOJA USIKU NDIO KUNAANZA KUKUCHA, INASIKITISHA SANA!!
- PEOPLE BADILIKLENI WACHA KUAHIDI USIYOWEZA KUTIMIZA, WACHA KUJIFANYA UNAJUA WAKATI KUMBE HUJUI ANYTHING NINAYAONA MAJITU MENGI HAPA BONGO YAMEJIKITA KWENYE FIELD SIO ZAO KABISA, MTU UNAMUONA KABISA ANATAKIWA KUWA MSANII LAKINI YEYE ANAJIFANYA POLITICIAN, MTU UNAMUONA KABISA KWAMBA ANATAKIWA KUWA MKULIMA LAKINI ANAKAZANIA KUWA BUSINESSMAN, MATOKEO YAKE NDIO HAYA MAJENGO MAPYA MAZURI, MAGARI MAZURI, LAKINI WANANCHI AKILI ILE ILE YA MWAKA 1960: SO SAD SASA HIVI KILA MTU HAPA MJINI ANAFIKIRIA KULALA USINGIZI NA KUAMKA ANATAFUTA SPONSORS WA NONSENSE ZAKE LINAKUJA KUKUOMBA ULISAIDIE KUTAFUTA SPONSORS MAANA HAO SPONSORS WANATAKIWA KUWA WAJINGA FLANI HIVI KAZI YAO KUTUPA TU MAPESA FOR NONSENSE!! PEOPLE BADILIKENI JAMANI THIS IS 2014 I MEAN UKIANZA KUFANIKIWA YANAANZA MAJUNGU MAJUNGU KILA MAHALI YA KUHALALISHA UJINGA WAO WA KULALA LALA USINGIZI MIJITU MIZIMA LAKINI IMELALA SUINGIZI MZITO SANA PEOPLE WAKE UP! FANYA KAZI THE REST MUWACHIE MUNGU LAKINI FANYA KAZI, BE WHAT YOU CLAIM TO BE SIO UJANJA UJANJA ILE DUNIA HAIPO TENA, JAMANI ASUBUHI NJEMA SANA!! - LE MUTUZ

chanzo:Lemu
No comments:
Post a Comment