Monday, 27 June 2011

JE NI KWELI WEMA SEPETU ANA NIA YA KUGOMBEA UBUNGE?!!!!!!!!!!!!


Wema Abrahamu Sepetu akiwa na Keti muigizaji wa vipind vya TV kilicho itwa mambo hayo aliye tamba katika miaka ya 90’S. Wakiwa nje ya ukumbi wa bunge kalibuni alipo tembelea Bunge.
Katika ziara hiyo Wema alitangaza nia ya kugombea Ubunge siku za usoni. Hii ina maana kama akifanikiwa atakua ameongewa wigo wa wasanii kuwakilisha wananchi Bungeni. Mmoja wa msanii wa bongo flavor ambaye sasa ni mbunge ni Joseph Mbilinyi a.k Mr Sugu.

No comments:

Post a Comment