Monday, 6 June 2011

MBIO ZA U-MISS TANZANIA 2011.

Miss Kurasini Mwajabu Juma akipunga mkono kwa mashabiki wake mara baada ya kutangazwa mshindi katika shindano la Miss Kurasini lililofanyika, kwenye ukumbi wa Equator Gril Mtoni kwa Azizi Ali jijini Dar es salaam, kushoto ni mshindi wa pili Naifat Ali na kulia ni mshindi wa tatu Priscar Steven. Shindano la Miss Tanzania linadhaminiwa na kampuni ya simu za mikononi ya Vodacom Tanzania na hizi ni hatua za awali za mashindano hayo. 

No comments:

Post a Comment