Christine Lagarde amechaguliwa kuwa mwanamama wa kwanza kuongoza taasisi kubwa inayo jihusisha na fedha,IMF.(International Monetary Fund.
Mwanamama ambaye kabla alikua waziri wa fedha wa France ataanza kazi rasmi 5 July 2011 akipewa mkataba wa miaka 5. Hi ina ongeza wigo kwa wakinamama kuongoza taasisi kubwa kama IMF, UN na pia nchi. Hongera kwa wakinamama wote wanao pigana na maisha ili wajiendeshe wenyewe bila msaada wa waume zao au kupata nafasi za upendeleo.
No comments:
Post a Comment