Super star wa Tollwood movie, mwadada mrembo, mwenye mvuto na aliye umbika haswa anaye kwenda kwa jina la Irene Uwoya ametamka wazi kua pamoja na kujifungua mtoto wa kiume, awezi kuchuja wala kufulia. Maneneo hayo ameyasema baada ya kupotea muda mrefu kwenye uigizaji . Kwa waliopata bahati ya kumuona karibuni hasa katika arobaini ya mwanaye anaoneka kuvutia zaidi kuliko alivyokua kabla ya kujifungua.
No comments:
Post a Comment