Thursday, 16 June 2011

WANAFUNZI WATIMULIWA UDOM.

 ZAIDI ya wanafunzi 9,000 wa Chuo Kikuu cha Dodoma (Udom) wamefukuzwa kwa muda usiojulikana kuanzia jana kwa madai ya kuhamasisha mgomo usio halali.  wanafunzi hao ni wa Kitivo cha Sayansi ya Jamii na Sayansi Asilia. 

No comments:

Post a Comment