Wema aliyatamka hayo kwenye radio moja hapa nchini pale alipoambiwa anawambia nini Watanzania na mtangazaji wa radio hiyo Zamarad Mtetema ambaye hufanya kipindi cha movie leo kwenye radio hiyo.
Zama alimwuuliza unawaambia Watanzania wanaokusikiliza kwenye radio ambao kwa sasa wanaendelea kusikia sakata la mahusianao yako wewe na msanii wa bongo flava Diamond hadi uhusiano huo umekufanya ufikishwe tena mahakamani kwa mara ya pil.
Ndipo hapo alipofunguka na kusema, "Watanzania wasiwe wanaangalia upande mmoja tu, na wasiwe wanaamini kwamba basi Wema hufanya mabya tu ila mengine siyo kweli, vile vile naomba waniombee ili niweze kubadilika.........."
SASA WATANZANIA, MAOMBI NA SALA ZENU ZAITAJIKA KWA BINTI YENU, TUMUAMINI MUNGU ATATENDA KWA WEMA.
No comments:
Post a Comment