Sunday 19 February 2012

CELEBRITIES NA MAISHA YA MTAANI!!!




Pamoja Celebrities kuwa na wafanyakazi pia  na pesa ndefuuuuu, lakini bado wanajishughulisha na maisha ya kawaida, ya hapa na pale, kama ya mimi na wewe mdau
wanapokuwa kwenye zulia jekundu au kwenye fani zao wanakuwa na taswira tofauti.

No comments:

Post a Comment