Saturday 25 February 2012

MWANAMICHEZO UCHEZA SEHEMU YOYOTE!!!








Watoto wa kicheza CRICKET kwenye kijiji chao Hanuabada nchini Papua New Gunie,hawakujali kama wanavifaa au uwanja wa kuchezea,bali game liliendelea mtaani barabarani,mungu awasaidie mastaa  wakulipwa wa cricket watoke kwenye kijiji icho,amen

No comments:

Post a Comment