Monday, 20 February 2012

MWEE! BI-KIDUDE KAZEEKA MWILI TU! LAKINI MENGINEYO Mhhh!!



Bi- Kidude  ni mwanamuziki wa nyimbo nyororooo za pwani ,na mwenye miaka  100,
ukimona kazeeka ila mengineyo nakuachia wewe mdau umsikilize kwenye hiyo video hapo juu,
mwee dunia kuona mengi!!!

No comments:

Post a Comment