CHAMA CHA UPINZANI CHA BWANA MACK SALL NCHINI SENEGAL CHASHINDA!!!
Shangwe,fijo na nderemo zilitanda mitaani nchini senegal, baada ya bwana macky sally kumshinda bwana Abdoulaye Wade ambaye alikuwa Rais wa inchi hiyo, katika uchaguzi uliofanyika jumapili 25march 2012 kwa habari zaidi TUMBUKIA KWENYE VIDEO.
No comments:
Post a Comment