JAMANI KWANINI NCHI YA HAITI WATU BADO WANATESEKA?
Haiti ni nchi ambayo ilikumbwa na tetemeko la ardhi miaka miwili iliyopita,cha kushangaza mpaka sasa maelfu ya watu bado wanakaa kwenye mahema ,na hali yake sio nzuri ata picha zenyewe zinajielezea,swali kwa wadauuuzi kwa nini mpaka sasa nchi hiyo bado iko kwenye shida pia ni nani wakutatua tatizo hilo ? ni nchi yenyewe au baadhi ya organization?
Kwa ajili ni weusi na waafrika hivi ndivyo tunavyotaka na wanavyotaka watu weupe tuwe.
ReplyDelete