Saturday 3 March 2012

SUALA LA USAGAJI KWA WANAWAKE KWA NINI LINAONGEZEKA KWA KASI?



Matukio mengi ya suala la usagaji kwa wanawake yamekuwa si ya kificho tena pia linaongezeka kwa kasi sana,na wengine kufikia hatua ya kuachana na wanaume zao kisa usagaji au kusagana.zamani walikuwa wanasema ni maumbile mtu aliyozaliwa nayo,je hii kasi kubwa wote ni maumbile walio zaliwa nayo?
                       
   HIVI SABABU HASA NINI?
a)Utandawazi?
b)fedha?
c)Tamaa?
d)Ama ni tatizo la kisaikologia?
WADAU NAOMBA MAJIBU KUTOKA KWENU,DUNIA NI  KUJIFUNZA AU KUELIMISHA!!!!

1 comment: