Wednesday, 14 March 2012

UJAFA UJAUMBIKA!!ILA USIKATE TAMAA YA KUISHI!!





Rusidah ni mwanamke mwenye ulemavu wa mikono na mwenye miaka 44 kutoka nchi Indonesia katika kijiji chaBotorejo,pamoja na ulemavu wake bado ana jishughulisha na biashara ya upigaji picha kwenye maharusi na sherehe mbalimbali,biashara hiyo ameanza kuifanya sio chini ya miaka 20 pia na kazi za ndani bado anaweza kuzifanya.

No comments:

Post a Comment