Tuesday 17 April 2012

JE KUNA HAJA YA KUPUNGUZA UKALI WA MANENO KATIKA UJUMBE????

Katika kufikisha ujumbe kwa jamii kuna haja ya kupunguza ukali wa maneno au unatakiwa uwe hivyo kama tunavyoona katika bango lilipo hapo juu? natumaini wadau mnayo majibu ya hili swali kama kuna haja au hakuna haja ya kupunguza ukali wa maneno!!!!!!

No comments:

Post a Comment