Thursday, 3 May 2012

FABRICE MUAMBA AWASHUKURU WATU WOTE NA MASHABIKI UKU MACHOZI YAKIMTOKA!!!





Fabrice Muamba awaashukuru mashabiki na watu wote uku machaozi yakiwa yanamtoka,aliwapungia mashabiki wakati wa timu yake ya BOLTON WANDERERS ilikuwa ina cheza na TOTTENHAM katika uwanja wa Reebok,Mjini  Bolton  England katika mechi ya Barclays premier leage mnamo 2 may 2012.

No comments:

Post a Comment