Thursday, 3 May 2012

KILA MTANZANIA AKITOA 500,SAJUKI ANAWEZA KUTIBIWA :NI WAZO LA DEO MUTTA MWATANGA.

Watanzania wote muda wa kumsaidia Sajuki ni sasa.kila Mtanzania akitoa shs 500 naamini tunaweza kuokoa maisha ya kijana mwenzetu.Bongo movie au Clouds FM tuandalieni utaratibu kwa mawazo haya ili tumuokoe kijana mwenzetu na MAUTI.Mnaonaje watanzania????? 

Haya ni mawazo kutoka kaka DEO MUTTA MWANATANGA 
                                    Sajuki na mke wake Wastara.

mke wa Sajuki Wastara 
 pesa zinazoitajika ni million 25,000,000 aweze kwenda kutibiwa India,Sajuki anasumbuliwa na uvimbe katika ubongo.

2 comments: