Maisha ya siku hizi ni kufanya kazi mke na mume kusaidiana,ila kutoka na mila na desturi wengine bado wanapinga wakisema haiwezekani mwanaume kufanya kazi za ndani,pia na kuwa na imani kuwa ukiona hivyo kuna nguvu za giza yaani (amelogwa).Mapenzi hayana dawa bali ni maelewano kati ya mume na mke
Endelea kuburudika na kibao cha Saida Karoli mapenzi KIZUNGUZUNGU.
No comments:
Post a Comment