Thursday, 3 May 2012

MTOTO MWENYE VIUNGO VYA AJABU AZALIWA SONGEA!!





Mtoto wa ajabu azaliwa Songea  nchini Tanzania,akiwa na sehemu nne za siri za jinsia ya kike na kiume sehemu mbili za mtoto huyo ziko kichwani na mbili ziko katika hali ya kawaida,mganga msaidizi wa  hospitali ya mkoa wa Ruvuma  alisema kuzaliwa kwa mtoto huyo kunaweza kutokana na mama kutumia madawa makali akiwa mjamzito.ENDELEA KUSIKIZA VIDEO UPATE MAELEZO KAMILI!!

No comments:

Post a Comment