Monday, 11 June 2012

SHUKRANI ZIWAFIKIE WALE WOTE MLIOWEZA KUCHANGIA KWA HALI NA MALI KWA NJIA MOJA AU NYINGINE KUOKOA MAISHA YA MTOTO RUKIA!!

                                     Vidole vya Rukia vimeanza kunyooka baada upasuaji.
                              Rukia akiwa  katika kitandani  chake tayari kwa kufanyiwa safi

                                        David Mpoto akiangalia majeraha aliyopa Rukia
              Mwakilishi wa OLAM tawi la Mtwara David Mpoto akitokwa na machozi baada kumuona Rukia
                                     hospitali ya ST WALBURG NYANGAO LINDI.
Mtoto RUKIA ABDALHA Mwenye miaka 2 anayeishi RUANGWA mkoani LINDI alipata ajali ya moto,akapelekwa hospitaki ya wilaya ya RUANGWA ambako alipewa huduma ya kwanza na kushauliwa apelekwe hospitali ya NDANDA,NYANGAO na MUHIMBILI ila wazazi wake hawana uwezo.Mpaka sana WAUNGWANA wameweza kuchanga baadhi pesa anaendelea kupata matibabu katika hosipitali ya ST.WALBURG, NYANGAO mkoani lindi yuko wodi no 3 chumba na 2,kutokana na familia yake kuwa na hali duni ya kifedha tunaomba michango yenu iendelee kwa hali na mali. pia bila kuwasahau UMOJA WA AKINA MAMA WA BENKI KUU
Tuma kupitia MPESA
0755-754494
O715-754494
MUNGU AWABARIKI NA AZIDI KUWAONGEZEA PALE MNAPOTOA

No comments:

Post a Comment