father michael akimwombea RUKIA
kulia kwa maumivu kumepungua
sasa anaweza hata kulala
vidonda sasa vinakauka
Kwa habari zaidi ya maendeleo ya mtoto Rukia au unataka kuchangia chochote wasiliana na
VICTOR RICHARD
07I5-754494.
0755-754494
Kumbuka familia ya rukia haina uwezo kifedha mpaka sasa alipofikia ni kwa misaada ya waungwana na mungu awabariki.
No comments:
Post a Comment