- Kwa Afrika, Tanzania itakuwa nchi ya kwanza kuwa na aina hii ya mradi wa mabasi ya majini.
- Mabasi hayo yana uwezo wa kutembea nchi kavu na majini, hii ina maana kuwa yatasaidia kwa mfano kusafiri kutoka Posta kwenda maeneo mengine yoyote ya jiji ambayo yanafikiwa na bahari.
- Mamlaka ya Usafiri wa Nchi Kavu na Majini (Sumatra) inasema mradi huo unaweza kusaidia kuleta mapinduzi makubwa katika sekta ya usafirishaji nchini.
- chanzo:mwananchi
Thursday, 20 February 2014
Tanzania kuwa nchi ya kwanza na mradi wa mabasi ya majini.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment