Thursday, 20 November 2014

Swali kutoka kwa Eras Rweyemamu.

Ivi kuna uhusiano gani kati ya kwenda kusoma Journalism uko (uhandishi wa habari & utangazaji) na maswala ya kuigiza movie? Na kuimba imba vigodoro?? Au kuvaa suruali milegezo kama mimi??
Au kuuza sura sijui na akina Lundenga uko??
Kwan kile chuo cha Sanaa kule kazi yake ni nini??
...
Maana asilimia kubwa ya bongo movie wamesoma Journalism au iio kozi siku izi wanafundisha kuigiza au??
Mliosoma ebu niambieni hii imekaaje..
 

No comments:

Post a Comment