Wednesday, 29 June 2011

JE MWAJUA JINA LA MTOTO WA JOYCE KILIA?



Joyce Kilia dada aliye jipatia umaarufu kutoka na vipindi vya runinga nchini Tanzania cha “Bongo Movie na Wanawake live vinavyo rusha na kituo cha EATV amefanikiwa kujifungua salama moto wa kiume . Mtoto huyo aliye jifungua kupita hospitali ya Marie Stopes tarehe 11 june 2011 anakwenda kwa jina la Lincolin Henry Kileo.

No comments:

Post a Comment