Thursday, 11 August 2011
LONDON!!! LONDON!!! LONDON!!! KWAWAKA MOTO
Kifo cha bwana Mark Duggan kilichotokea karibu na Tottenham Hale Tube station siku ya Alhamisi inadaiwa alipigwa risasi ya kifuani badaa ya kubadirishana risasi na Polisi. Waaanchi wanataka kujua kwa nini kijana huyo baba wa watoto watatu amepigwa risasi na polisi na bila kuwataarifu wananchi ni kipi kilichoachili wao kummaliza kijana huyo (29).Nyepesinyepesi zinadai bwana Duggan alikuwa na risasi lalkini ilikuwa chini ya socks zake.Waaanchi wa Tottenhamn waliza kuanadamana mwishoni mwa wiki ambapo maanadamano hayo yalizua badalaa kubwa Tottenham na kuamia katiaka sehemu tofauti za London na hata kueleke miji ya nje ya London. Mji ulichafuka kwa kuvunjwa maduka na hata kuchoma baadhi ya majengo na mabasi ya abiria. Sehemu caheche zilizoathirika sana ma maandamano ni pamoja na Lewisham, Hackney, Liverpool, Birmingham, Croydon na Tottenham.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment