ALIKIBA na mwenye nyimbo ya DUSHELELE Dushelele shelele mimi na yule tulipendana sana ,mimi na yule tulifunga ndoa ! Ali wakitaa ,Ali waleo si unaona,ara-ka-ta-ka-ta-ta-ta shele,shele dushelele dushelele mwaegoooo!!!
DIAMOND mwenye nyimbo ya MBAGALA,tatizo kwetu mbagala, hapa nyumba mbele jalaa ukaona mapenzi siwezi! hata kupendwa sitamani,utamu wa mapenzi mwenzako umekula kwanga ma,mwenzio sitamaani hata raha tena misioni!!!!!


No comments:
Post a Comment