NI WAZEE WA HIP-POP'S!!!PIA WAZEE WA MABUSINESS NA MABIASHARA!!!
Siku hizi waimbaji hawaishii kuimba tu kama ndio maisha yao bali wengi wao wako na biashara tofauti sio kama zamani ilikuwa kuimba na kula bata sasa ni kuimba nakuwaza jinsi gani ya kutajirika,haya sasa kwa wazee wa bongo flava tuige mifano
No comments:
Post a Comment