Thursday 22 March 2012

MAMIA YA WATU WAJITOKEZA KWENYE MAZISHI NCHINI ISRAEL!!







Mamia ya watu wajitokeza kwenywe mazishi ya watu walio uwawa toulouse, nchini France,katika shambulio lilitokea nje ya shule ya waisrael(jewish),katika tukio hilo watu  saba waliaaga dunia wakiwemo waisrael wanne ambao wamesafirishwa  na kuzikwa Jerusalem,Israel 21march 2012 mtuhumiwa mohamed  merah mwenye miaka 23 bado hajawa mikononi wa polisi!!!!

No comments:

Post a Comment