Monday, 5 March 2012

ZAMARADI MKETEMA AAGA MASHABIKI!!!!!

MTANGAZAJI wa kipindi cha ‘Take One’ kinachorushwa na Clouds TV, kinachoonesha masuala mbalimbali ya filamu za hapa Bongo, Zamaradi Mketema,  aliaga mashabiki wake kupitia kipindi hicho kilichojizolea umaarufu.
Katika kipindi hicho cha mwisho kabla ya kwenda likizo, Zamaradi alifanya mahojiano na mwigizaji Steven Kanumba.
Kupitia kipindi hicho, ndipo akaaga na kusema kitakuwa kikiendeshwa na mtangazaji mwenzake, Ruben Ndege. 
Ingawa Zamaradi hakuwa tayari kusema anakwenda likizo ya aina gani, habari zinasema kuwa ni likizo ya uzazi.

2 comments:

  1. co sili kipindi kilikua kizuri sana na 2mekiinjoy sana na tutakumic sana, but kunaki2 ulizingua cku unamalizia kipindi coz hujafunguka kwanini unaaga wakati sababu ilikua wazi we ungefunguka tu kua una mzigo na mzigo huo ingekua sio vibaya ukataja ni wanani coz mpaka sasa wewe ni star

    ReplyDelete
  2. tunakutakia rikizo njema dada zamaradi

    ReplyDelete