Thursday, 3 May 2012

"TULIZOEA MAMA NITILIE"SASA BABA NITILIE WANAKUJA JUU!!!


Tulizoea kesema mama nitilie, sasa baba nitilie wanakuja juu hii yote sababu  ya maendeleo  ya watu "kutochagua kazi na kusema hii ni kazi ya akinamama au ya akinababa" cha msingi tonge liende kinywani na mahitaji ya familia yanapatikana.

No comments:

Post a Comment