Waombolezaji wakitoa heshima zao za mwisho
Jaji Angela kileo akilia kwa majonzi
Waombolezaji wakiwa na majonzi
Jaji kileo akiingia kwenye gari kuelekea uwanja wa ndege tayari kwa safari Kenya
MWILI wa Perpetua Nyambura Maina, aliyeuawa kwa kuchinjwa hivi karibuni maeneo ya Mikocheni, Dar es Salaam, umesafirishwa kwenda Naivasha Kenya kwa mazishi.
Perpetua alikuwa mfanyakazi wa ndani kwa Jaji Angela Kileo wa Mahakama Kuu ya Tanzania.
chanzo:.globalpublishers
No comments:
Post a Comment