Thursday, 3 October 2013

Safari ni ndefu "mwendo mdundo tu"

                 Mama j2 au ukipenda niite mama jj
                      Kikazi zaidi

             Nakaza mkanda cause safari ni ndefu MWENDO MDUNDO

                                  Baba mwenye nymba akimsaidia waifu wake kuphotoa

Tumaini langu wadau  au wasomaji wa J2WISDOM wote ni wazima wa afya,,napenda kutoa shukrani zangu za dhati kwa wote mnaolitembelea libeneke hili kwani ndio mnaonifanya kuwa hewani na kuwarushia chochoche nilichonacho kwa kweli mnanipa nguvu na kunipa moyo wa kuamini kuwa nikaze mkanda nisichoke, maana "MTAFUTAJI HACHOKI AKICHOKA UJUE AMEPATA"
Najua iko siku safari hii itakuwa nzuri iliyojaa mautamu ya EMBE DODO,
Naomba nisiwachoshe nawatakia siku njema.
  
   Nakaza mkanda mwendo mdundo

No comments:

Post a Comment