Friday 7 March 2014

Ukumbi wa Bunge wageuka kuwa uwanja wa masumbwi.

MWENENDO wa Bunge Maalumu la Katiba ambao umekuwa ukionyesha kila dalili za kutokea vurugu kutokana na namna wajumbe wanavyojadili rasimu ya kanuni za Bunge hilo, umedhihirika jana baada ya kuibuka vurugu kubwa zilizosababisha kikao hicho kuahirishwa ghafla.
Hali hiyo imetokea jana baada ya baadhi ya wajumbe kutaka kuugeuza ukumbi wa Bunge hilo kuwa uwanja wa masumbwi.

Zomea zomea, kejeli, kelele, matusi ya nguoni na vitisho vya kukunjiana ngumi, vilitawala jana bungeni katika mjadala wa rasimu ya kanuni zitakazotumika kuendesha vikao vya Bunge hilo.
chanzo:tz daima

No comments:

Post a Comment