Monday, 24 November 2014

Ya Zitto Kabwe naye

waziri wa ufugaji alitembelea mradi wa nyuki. Kufika getini mlinzi akamwambia haruhusiwi mtu kuingia kwa sasa. Waziri kwa hasira akajibu kwani hujui mimi nani? Huku akimwonesha mlinzi kitambulisho! mlinzi kwa utii akamwambia haya ingia mheshimiwa! Baada ya mda mfupi waziri akaanza kupiga kelele akisema "mlinziiiiiiiiiiiiii njoooooooo nyuki wananimalizaaaaaaaaaaa" Mlinzi akamjibu: waonyeshee kitambulishoo! Labda hawakujui wewe ni nani
soure zitto Kabwe

No comments:

Post a Comment