TATIZO
“Kuna tatizo limetokea huko nyumbani Tanzania, kuna matapeli wanaifuata familia, wanajifanya ni waganga, wanataka kumtibia Sajuki,” ilisomeka sehemu ya maelezo ya Wastara aliyoyatuma kwa Mtangazaji wa Clouds FM, Dina Marios.
Wastara alieleza kuwa watu hao walitaka wapewe Sh. milioni
3.5 ili wamuokoe Sajuki kwa sababu kalogwa na mtu aliyemdhulumu hivyo ugonjwa wake siyo wa kwenda kutibiwa India.
“Ukweli sisi hatujawahi kumdhulumu mtu. Waganga hao wapo wengi wanaisumbua familia tangu tulipoondoka.
“Naomba waache hiyo tabia si nzuri kwani wanatukwaza sana,” alisema Wastara, kauli iliyowatoa machozi Watanzania kwa mara nyingine kwani hadi akafikia hatua hiyo ina maana hali hiyo imewaumiza.
ENDELEA KUSOMA HAPA: http://www.globalpublishers.info/profiles/blogs/wastara-sajuki-mkasa-mpyaa

No comments:
Post a Comment