Monday, 3 March 2014

Hii ndio njia pekee ya kumaliza Ujangili:?

Tunaipongeza Serikali kwa kununua bunduki 500 aina ya AK47 ili zitumike katika vita dhidi ya majangili inayotarajiwa kuanza tena muda wowote kuanzia sasa katika hifadhi na mapori ya akiba hapa nchini. Waziri wa Maliasili na Utalii, Lazaro Nyalandu aliwaambia waandishi wa habari juzi kuwa, hatua hiyo ya Serikali ya kununua silaha hizo ni utekelezaji wa maazimio ya Bunge na kwamba silaha hizo zitakabidhiwa kwa wapiganaji katika hifadhi na mapori hayo.
chanzo:mwananchi

No comments:

Post a Comment