Wednesday 6 June 2012

SHIRIKA LA DENGE LA DANA LAPOKONYWA LESENI!!!


                             
Mamlaka hiyo ilisema kuwa shirika la ndege la Dana Air, halitaendesha safari zake za ndege tena hadi itakapochunguzwa kikamilifu.
Jamaa za waliofariki kwenye ndege hiyo wanajaribu kutambua miili za jamaa wao ambayo iko kwenye chumba cha kuhifadhi maiti mjini Lagos.
Afisaa mmoja wa mamlaka hiyo, alisema kuwa rubani alikuwa ameelezea kuwa ndege ilikuwa na matatizo ya kiufundi kwenye injini zake mbili, kabla ya ndege hiyo kuanguka
chanzo bbc swahili

No comments:

Post a Comment