Baba rukia na mwanae wakishuka NYANGAO
Baba yake Rukia akiwa amemshika mwanae
katika halakati za kuoshwa vidonda
Rukia akipewa maji ya kunywa na muuguzi
Baadaa ya kusafishwa vidonda
Rukia akiudumiwa
Mtoto RUKIA ABDALHA Mwenye miaka 2 anayeishi RUANGWA mkoani LINDI alipata ajali ya moto,akapelekwa hospitaki ya wilaya ya RUANGWA ambako alipewa huduma ya kwanza na kushauliwa apelekwe hospitali ya NDANDA,NYANGAO na MUHIMBILI ila wazazi wake hawana uwezo.Mpaka sana WAUNGWANA wameweza kuchanga baadhi pesa anaendelea kupata matibabu katika hosipitali ya ST.WALBURG, NYANGAO mkoani lindi yuko wodi no 3 chumbba na 2,kutokana na familia yake kuwa na hali duni ya kifedha tunaomba michango yenu iendelee kwa hali na mali.
Tuma kupitia MPESA
0755-754449
O715-754449
MUNGU AWABARIKI NA AZIDI KUWAONGEZEA PALE MNAPOTOA
No comments:
Post a Comment