Monday, 1 December 2014

Julius S. Mtatiro atabiri:"Nyerere mwingine atatokea Kigoma siku za usoni".


THE NEXT NYERERE WILL COME FROM KIGOMA!

Wakati nakua sikuwafahamu vizuri watu wa Kigoma. Sasa nazidi kuwafahamu na kuwaonea wivu wa kimsimamo na kimtizamo.

Ikitokea tukapata rais kutoka Kigoma, sitajilaumu. Vijana wa Kigoma wana vipaji maalum, wanajituma na huwatoi kwenye reli....

Natabiri kuwa, "Nyerere mwingine atatokea Kigoma siku za usoni".

Let us keep the fight!!

No comments:

Post a Comment