Monday, 1 December 2014

Wazo la Edo Kumwembe kuhusu ESCROW.

....ESCROW imeisha... Na haya ndio niliyogundua katika bunge la escrow.... mwigulu Nchemba amekuwa mtu mpya, bila ya Tundu Lisu masuala ya sheria yanakuwa magumu bungeni, Zitto Kabwe ana akili sana, wachangiaji wa CCM siku ya alhamisi wanajisikia aibu, Pinda Urais atahusikia redioni, Zungu anafaa kuwa spika wa bunge lijalo, Housegirl wangu ana akili kuliko Hawa Ghasia.....

No comments:

Post a Comment