Dada mmoja ambaye ni mhudumu wa baa hiyo akichomolewa na Wasamaria wema kutoka katika kifusi.
Baadhi vitu vya baa hiyo vikiwa nje
Mwandishi wa Global Publishers, Issa Mnally, akiangalia baadhi ya vitu vilivyoharibika.
Bi Matola akiwa haamini kilichotokea akiwa ndio mmiliki wa baa hiyo.
WANYWAJI katika baa moja iliyoko Tazara Magorofani, Manispaa ya Temeke, walinusurika kifo, baada ya mgambo wa manispaa hiyo kuivamia na kuanza kuibomoa mnamo saa 8.30 usiku wa kuamkia leo.
Wavunjaji hao walifika eneo hilo bila hata kuongozana na mjumbe wala mwenyekiti wa serikali ya mtaa husika na hawakuwa na barua yoyote ya kuelekeza uvunjaji wa baa hiyo ambamo kulikuwa na watu waliokuwa wakipata vinywaji.
chanzo: globalpublishers
No comments:
Post a Comment