Monday, 28 April 2014

Mashabiki wa Chelsea na Liverpool walivyotwangana jana baada Mechi.





There were ugly scenes at Anfield following Chelsea's 2-0 win over Liverpool on Sunday afternoon as fans clashed outside the stadium.
Pictures have emerged of a scuffle outside the Anfield Road end of the stadium after Liverpool fans took exception to Chelsea supporters singing about Reds captain Steven Gerrard after the match.
One fan appeared to throw a punch while others had to be restrained by police.


http://www.dailymail.co.uk/

Celebrity Couples Who Love Working Together.



Singer Beyonce and rapper Jay Z perform onstage during the 56th GRAMMY Awards atStaples Center on January 26, 2014 in Los Angeles, California.
source:zimbio

The Best photos of Prince George.






VIDEO:WEMA SEPETU ALIVYOIBUKIA KIDEDEA IJUMAA SEXIEST GIRL 2013/14

Nafurahia mto wa kulalia kuliko mume wangu…nisaidieni jamani!


 Nisaidieni jamani. Niliolewa na ninaishi vizuri kwenye ndoa yangu. Mume wangu alisafiri kikazi akakaa miezi sita. Nilikuwa mwaminifu kwa mume wangu hivyo hamu ya tendo la ndoa linaponijia nachukua mto wa kulalia na kuutumia 

Niliendelea hivyo kwa muda mrefu. Ghafla nikawa sina hamu na mume wangu kwani raha niliyokuwa napata nikiwa mwenyewe ilikuwa kubwa kuliko nikiwa na mume wangu. Wakati mwingine nikiwa na mume wangu inabidi nijifanye kama nimeridhika kumbe sivyo asije akagundua kuwa simfurahii.

Mpenzi msomaji haya ni matatizo makubwa katika mahusiano hasa hilo la kwanza la bibie kuweka mawazo yake kwenye mto, jambo ambalo linamtesa.

Dangerous Gangs in Prison

Auawa kinyama anyofolewa viungo pua, kidevu, kidole gumba na sehemu za siri

Mkazi  wa Kijiji cha Butengo, wilaya ya Chato, mkoani Geita, Maria Bujingu (42), ameuawa kinyama na watu wasiojulikana, ambao wametoweka na viungo vyake mbalimbali vya mwili, zikiwamo sehemu za siri.

Viungo vingine ambavyo wauaji walitoweka navyo ni pua, kidevu, kidole gumba cha mguu wa kulia na nyama za mkono wa kushoto.

Thursday, 24 April 2014

Sabuni inayotengenezwa kwa maziwa ya mwanamama PIA INAPONYA.

A new soap made from breast milk that claims to cure nappy rash is proving popular in China.
The soap was invented by a new mum who found her baby son couldn't take breast milk.
Instead of wasting it, she decided to make soap from it so he would still get some of the skincare benefits.
The soaps are proving popular on China's answer to eBay and Amazon, Taobao.
With over 500 million registered users, Taobao has some unusual items.

Jifunze Rangi ya POO(KINYESI) kujua una tatizo gani

When it comes to toilet habits, everyone is different.
But, there are rules that hold true for everyone.
Now, a comprehensive guide to poo colours has been drawn up and it can reveal a lot about your health.
Faeces can be any shade from brown to green and be considered normal.
But, there are other colours that can indicate a serious problem, Gizmodo reports.
GREEN STOOLS
Green stools can be caused by many things – they often suggest food is being digested too quickly, but can also be caused by eating a lot of vegetables or green food dye.
In other cases, they can be caused by sensitivity to Anise oil or be a side effect of taking iron supplements.

Shabiki wa Liverpool ahaidi kukata nywele kama timu itashinda Premier League.

Some 11 years ago this Liverpool fan vowed to not get his hair cut until the Reds won the Premier League.
But with Brendan Rodgers' side flying high he's now so confident he'll have cause to have his barnet chopped soon he's already booked in.
Uke Krasniqi, a Red from Kosovo, has been growing his curls for over a decade and has seen FA Cup wins, the famous Istanbul Champions League win in 2005, but no league title.
But with only three games remaining Premier League.are five points clear and overwhelming favourites to claim a first title since 1989, giving Uke the chance at that elusive chop.
"Since 2003 I started growing my hair spontaneously. So far Liverpool have won all the title but not the league," he said. "Now we are so close!"


http://www.mirror.co.uk/news/

Best photos of the day.




Dotsa kuuawa kwa kupigwa mawe.

Mwanamume huyo pia aliripotiwa kumuambukiza msichana huyo virusi vya HIV.
Hukumu kama hizi hutolewa chini ya sheria kali za kiisilamu na zimewahi kupitishwa ingawa utekekelezaji wake unakuwa mgumu.
Hukumu ambazo ziliwahi kutolewa hapo awali ziligeuzwa na kuwa kifungo cha maisha jela.
Mtuhumiwa Ubale Sa'idu Dotsa, alijitetea mahakamani Jumatano, akisema kuwa shetani ndiye aliyemsababisha kumbaka msichana huyo.

Haya ndio makavu laivuuu ya Dk. Mwinyi aliyowapa CCM.

Mjumbe  wa Bunge la Katiba, Dk. Hussein Mwinyi, ameeleza jinsi kero zilizopo ndani ya muundo wa Muungano wa serikali mbili zinavyoweza kutatuliwa na kuuponda muundo wa serikali tatu.
 
Akichangia mjadala wa Rasimu ya Katiba, sura ya kwanza na ya sita bungeni jana, Dk. Mwinyi alisema Watanzania wanachotaka ni kuondolewa kwa kero za Muungano zilizopo, na si kutwishwa mzigo wa kugharamia serikali tatu.

 “Katiba ina mambo makuu mawili, kwanza ni lazima ihakikishe amani inakuwapo na pili inatakiwa kuleta ustawi wa jamii, kwa hiyo tunapojadili tunapaswa kuzingatia haya,” alisema.

King Josh ft Iyanya - Good Looking (official video)

Thursday, 17 April 2014

Jamaican killer we can't deport because he is GAY.

An illegal immigrant who stabbed a 15-year-old  schoolboy to death less than a year after arriving in Britain cannot be deported because he claims to be gay, judges ruled yesterday.
The 29-year-old Jamaican was jailed for life aged 16 when he and another schoolboy knifed Abdul Maye to death over a £10 debt outside his school in east London.
A judge at the Old Bailey ordered that he be kicked out of Britain once he had served a minimum of eight years.
Judge Paul Focke told the thug, who cannot not be named for legal reasons: ‘You are a Jamaican national and within months of coming to this country you committed murder.
‘I am of the view that your continued presence in this country will be detrimental to its citizens.’ 

Baby with four hands and four feet born at a hospital.

A baby boy born with four legs and four arms has undergone complex surgery to remove the extra limbs.
The 13-day-old boy was born weighing just 3kg at a hospital in southern China on April 2 with four additional arms and legs on the right side of his body.
His conjoined twin failed to fully develop in the womb and the surviving baby was born with his arms and legs.

Wema Sepetu ''IN MY SHOES'' Episode 19 PETIT MAN atafuna pesa.

Monday, 14 April 2014

Ufuska waigeuza Dar `Sodoma` -2,Mkuu wa wilaya aangua kilio.

Vitendo vya ufuska vinavyoendelea katika eneo lililopo Mbagala Zakhem katika manispaa ya Temeke, ambalo ni maarufu kwa kuwavutia wanawake wengi na wanaume wanaojihusisha na biashara hiyo haramu, vimekuwa tishio siyo tu kwa mazingira, bali pia maambukizi ya ukimwi na athari za madawa ya kulevya. 

Kinachosikitisha zaidi ni kuwa jeshi la polisi wilayani humo linajua yanayofanyika eneo hilo lakino hakuna hatua madhubuti ambazo zimechukuliwa kudhibiti vitendo hivyo haramu ambavyo pamoja na kutishia afya ya binadamu, pia inachafua taswira ya taifa letu ndani na nje ya nchi.

The best of the Orijino Komedi

Uzee mwisho Chalinze mjini wanaitwa BEBI!!!!


Haya ndio majina Waliokufa na mafuriko Dar!




POLISI jijini Dar es Salaam imewataja watu 10 waliokufa kutokana na mafuruko yaliyotokana na mvua zinazoendelea kunyesha katika maeneo mbalimbali jijini Dar es Salaam.
Kwa mujibu wa Jeshi la Polisi Kanda Maalumu ya Dar es Salaam, waliofariki kutokana na mafuriko hayo ni Julius Josephat (25), mkazi wa Pugu Kinyamwezi; Agatha Thomas (8), mwanafunzi wa darasa la pili Shule ya High Mountain iliyopo Pugu; mtoto Josephat Jaffet mwenye umri wa mwaka na nusu, mkazi wa Buguruni; Juma Said anayekadiriwa kuwa na umri wa miaka 40-45, mkazi wa Jangwani Mafuso na mwanaume mlemavu anayekadiriwa kuwa na umri wa miaka 35-40 ambaye maiti yake imeokotwa Mto Msimbazi, maeneo ya Gongo la Mboto.

Dk. Slaa: TBC adui wa mageuzi

SIKU moja baada ya Shirika la Taifa la Utangazaji (TBC) kukata matangazo ya moja kwa moja wakati Bunge la Katiba likiendelea mjini Dodoma, wanasiasa na wananchi wa kada mbalimbali wamelaani na kutaka kituo hicho kiwaombe radhi Watanzania.
Wakizungumza kwa nyakati tofauti na gazeti hili janaKatibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Dk. Willibrod Slaa, alisema TBC ni adui namba moja wa wananchi.
Dk. Slaa alisema kitendo cha TBC kukata matangazo waka

Mtoto uliyemkana sasa anataka kukusaidia nawe hutaki, kwanini?


Naam. Simulizi iko hivi; Ipo familia moja iliyoishi ndani ya ndoa katika muda mfupi kisha mume akamfukuza mkewe. Kufukuzwa huku kulitokana na mizozo ya mara kwa mara na inavyoonekana, bwana yule alikuwa anazuzuliwa na mwanamke mwingine nje ya ndoa, ambaye baadaye ilithibitika pale alipomuoa mara tu alipomtimua yule wa kwanza.

Mama huyu aliyetimuliwa, kumbe alikuwa tayari mjamzito kwa mumewe. Hata hivyo, akahangaika huko na kule akabahatika kuanzisha mradi wa kuuza pombe haramu ya gongo ili mradi tu aweze kuishi na kumtunza mwanae wa kiume aliyemzaa.

Yaani ni THE KILLER Ghetto Kids Dancing Sitya Loss New Ugandan music

Yasemekana hawa ndio WIFE MATERIAL






Monday, 7 April 2014

Hawa ndio Mapunda wa Sembe wakamatwa Dar.


Kibano! Wanawake wawili, wakazi wa jijini Dar wamekumbwa na bonge la msala baada ya kutiwa mbaroni na kikosi kazi (task force) cha kudhibiti na kupambana na madawa ya kulevya ‘unga’ ambapo wamekamatwa na mzigo huo wenye thamani ya mamilioni ya shilingi, Ijumaa Wikienda limenyetishiwa.

Taarifa zilizodakwa na gazeti hili kutoka ndani ya jeshi la polisi na kuthibitishwa na kamanda wa kudhibiti madawa hayo nchini, SACP Godfrey Nzowa zilidai kwamba wanawake hao walikamatwa na madawa hayo kwa nyakati tofauti katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar hivi karibuni.

Missing Malaysia Airlines flight MH370 confirm they HAVE found ‘signals consistent with black box.

It is not yet clear whether the pings detected are from MH370, but Air Chief Marshal Angus Houston has claimed it is the 'most promising lead so far'.
The signals were detected by a 'towed pinger locator' deployed by the Australian vessel Ocean Shield in the northern part of the defined search area west of Australia.

http://www.dailymail.co.uk/news/

Mwili wa Erick maarufu kwa jina la Ras Kiduku umekutwa umetupwa


MWILI wa kijana ambaye ni dereva wa Bajaj aliyejulikana kwa jina la Erick maarufu kwa jina la Ras Kiduku umekutwa ukiwa umetupwa eneo la Kilongawima, Africana-Mbezi jijini Dar es Salaam. Pembeni ya mwili huo, ulikutwa ufunguo wa Bajaj yake ambayo ilikutwa imetelekezwa barabarani jirani na mwili wa marehemu ulipokutwa.

chanzo:globalpublishers

Kweli kupendeza Raha!!











Picha za Prince William na Princess Kate walivyo wasili nchini New Zealand.










Their visit to Australia and New Zealand has been anticipated for months. 
And the Duke and Duchess of Cambridge were given the warmest of welcomes as they headed straight to Government House in Wellington, New Zealand on Monday after landing in the country that morning. 
The couple were met by traditional Maori warriors as well as a local dignitary, who rubbed noses with William and Kate as they stood on the soggy lawn outside the stately home.


Read more: http://www.dailymail.co.uk/news/